VIUMBE HAI

VIUMBE HAI DUNIANI.
Viumbe hai  vingi  duniani  wakati  huu  vipo katika  hatari kubwa  sana ya  kuweza  kutoweka  duniani kwa sababu  ya mabadiliko  ya  tabia  ya nchi  na   vile vile  shughuli za  kibinadamu  ambapo  viumbe  hai  wakiishi. 

Tishio la kutoweka   viumbe hai duniani linazidi kuongezeka siku hadi siku.  

UWAJIBIKAJI  WETU  KWA  NJIA  YA VITENDO 
Kama  watanzania  wazalendo  wan chi  yetu  Tanzania  sote  tunacho kila  kitu tunachohitaji  katika  kutatua tatizo lolote  linalotokana na mabadiliko ya nchi ya tabia   ya nchi (climate  crisis). Kila mtanzania  miongoni  mwetu  na  duniani  kote kwa ujumla  wake ni  chanzo  na tatizo  la  usababishaji  wa  uwepo  wa  uoteshaji   joto   dunia  (Global  warming) lakini  vile  vile  kila  miongoni  mwetu  anaweza  akawa  ni sehemu  ya  suluhu  ya  utatuaji  tatizo  la  uoteshaji   joto  dunia.  Katika  maamuzi  tunafanya   katika  yale  yote   tunayoyahitaji kuyanunua,

kiwnago  cha  nishati  ya  umeme  tunayotumia,  magari ya  kifahari tunayonunua na  namna  gani  mtindo  yetu ya maisha  tunayoishi.  Tunaweza  kufanya  maamuzi ya  kwamba  hakuna  ulazima wa utoaji  hovyo wa  hewa  ukaa  unaosababishwa  na vitendo  vyetu wenyewe.

Imeandaliwa na Ndugu, Mwalimu Edgardo K. Welelo Simu: +255 784 815 517

Watch-Tanzanian-Map ____________________________________________________________________________________________________

BLOGU NA HABARI ZA UTALII
TAARIFA KWA UMMA
KUTOKA KWA MKURUGENZI MTENDAJI
MAKABILA YALIYOPO TANZANIA
WASIFU WA MIKOA KIUTALII
MATUKIO NA MATAMASHA
HAMASIKA
MAONI
JARIDA
UOTO WA ASILI
WATOTO
WITO WETU
USAFIRI
RAMANI
MAKTABA YA PICHA
Fortune Media Work
Simu: +255654002397
www.fortunemediawork.com | © 2011-2014
Tazama Ramani Tanzanian. Haki zote zimehifadhiwa
free hit counter

logos NgorongoroS!TE TATOTz EAC UDMCT TTB TANAPA KARIBU