SAYANSI

Nchi  ya Marekani  huchangia  katika kutoa  karibia  robo  ya hewa  ukaa   duniani wakati ambapo  bara la Afrika  linatoa  hewa  ukaa  takribani  asilimia 5.

TABAKA LA HEWA BARIDI YA OZONI 
Pale  ambapo  binadamu  wanazalisha  kemikali  na  kusambaza  hewani  hii  huangamiza   tabaka  la hewa  baridi angani  ya ozone  ambavyo hutoa  kinga na  kuhifadhi  ubaridi  dhidi  ya joto  linalotokana  na miale  au  mionzi  ya jua. Hewa  ukaa  hewani   inapokuwa  nyingi  kupindukia  ni kwamba  joto zaidi  kutoka   mwanga  wa  jua  hunaswa  karibu na uso  wa dunia.

MADHARA YA TINDIKALI
Madhara ya Tindikali  husababishwa  pale  ambapo  makaa na  mafuta  yanapochomwa  moto na  kuweza  kusababisha  hewa  ya  ukaa kutoka  katika  viwanda. Salpha  na Naitrojeni  hubadilishwa   hewani  na kuwa  tindikali  ambayo  huanguka  ardhini toka  angani sambamba  na mvua. Vile  vile  katika  theluji  na  ukungu katika  uoto  wa asili  na maziwa  ambayo  huwa  ni  uchafuzi wa mazingira.

UONGEZEKAJI WA KINA CHA BAHARI
Nchi  4  mpaka  6  katika  kipindi  kilichopita  cha  takribani  karne  moja  hivi  huongeza  uoteshaji  joto  duniani. Kina cha bahari kimeongezeka kutokana na uyeyukaji wa theluji. Mafuriko haya  si kwamba  yanathiri  miji  katika  maeneo  ya  mwambao  wa Pwani  lakini  vile vile  kwa  kiasi  kikubwa  kinaathiri  maeneo  Oevu  na  viota  vya  ndege. Mpaka  mwisho  wa karne  ijayo bahari  zitafurika  na kuweza  kumeza  miji yote  ya  mwambao  wa pwani  kufikia   futi  6.

HEWA UKAA NI KITU GANI?
Hewa  ukaa ni gesi  katika hewa  angani  ambavyo  huzalishwa  kutoka  katika  viwanda   na vile  vile  katika  magari  pamoja na  uchomaji  hovyo  wa misitu na utengenezaji wa nishati ya mkaa na mambo mengine  yanayotokana  na hilo.  Hewa ukaa inachukua   takribani wastani wa  5900F  (Nyuzi joto  59F).

UTABIRI WA MABADILIKO YA TABIA YA NCHI
Utabiri  wa mabadiliko ya tabia  ya nchi  unatabiri  ya kwamba  hali  hii  ya  uchomaji misitu hovyo pamoja na Moshi kutoka viwandani huongeza  uotoshaji joto dunia (Global  warming) kwa wastani  wa nyuzi  joto 10  katika  miaka  400 ijayo. Wakati  ambapo  asilimia 75 ya hewa  ukaa  duniani  inatokana na magari na uchomaji  hovyo  wa misitu hivi  ndivyo vilivyo chanzo vikuu.

Uchomaji hovyo wa misitu  duniani  unachangia  takribani hasara  ya mara  mbili  zaidi ya  upatikanaji  utabiri  huu wa  mabadiliko  ya tabia   ya nchi kama  utakuwa sahihi basi tena  huenda uoto wote  wa uzio  wa kaskazini  utatoweka.  Na  viumbe  hai  vingi  duniani   havitakuwa  na uwezo  tena  wa kukabiliana  na madiliko  ya tabia ya nchi.

Imeandaliwa na Ndugu, Mwalimu Edgardo K. Welelo Simu: +255 784 815 517

Watch-Tanzanian-Map ____________________________________________________________________________________________________

BLOGU NA HABARI ZA UTALII
TAARIFA KWA UMMA
KUTOKA KWA MKURUGENZI MTENDAJI
MAKABILA YALIYOPO TANZANIA
WASIFU WA MIKOA KIUTALII
MATUKIO NA MATAMASHA
HAMASIKA
MAONI
JARIDA
UOTO WA ASILI
WATOTO
WITO WETU
USAFIRI
RAMANI
MAKTABA YA PICHA
Fortune Media Work
Simu: +255654002397
www.fortunemediawork.com | © 2011-2014
Tazama Ramani Tanzanian. Haki zote zimehifadhiwa
free hit counter

logos NgorongoroS!TE TATOTz EAC UDMCT TTB TANAPA KARIBU